VIDEO: MR T TOUCH Interview na +255 Global Radio

Mtayarishaji wa muziki na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mr T Touch, amepiga stori na Global Radio na kufunguka mambo mbalimbali kuhusiana na kazi zake za muziki lakini bifu lake na mwanamuziki mwenziye Nay wa Mitego, baada ya mambo yake na Country Boy kuwa sawa, maproducer kama Majani na Master Jay, Diamond Platnumz, Zari, WCB, Rich Mavoko na mengine mengi.

 

TAZAMA INTERVIEW HAPA


Loading...

Toa comment