The House of Favourite Newspapers

VIDEO: MREMBO WA USWAHILINI, ANAYOYAFANYA HUWEZI KUAMINI!


Uswahilini kuna vituko sana. Mila na tamadauni za uswahilini ukizijua unaweza usiamini wakati mwingine. Kwa mfano, uswahilini kuna utamaduni wa wasichana kutunzana kwenye sherehe. Siyo jambo baya kumpongeza na kumtunza mtu kwenye sherehe, ubaya unaanzia pale ambapo mtu anapotoa zawadi kubwa kuliko uwezo wako, baadhi ya warembo wa uswahilini ‘wataka sifa’, huwa tayari kumtunza mwenzake Kitanda cha kifahari wakati yeye chumbani kwake analalili mkeka……!

Comments are closed.