The House of Favourite Newspapers

Video: Mwanadada Jojo Gray Azawadiwa Gari La Thamani Aina Ya Range Rover – “Kwangu Ni Ya Kuendea Sokoni Tu”

0


Mwanamitandao maarufu hapa nchini, Jojo Gray @jojogray__ , amewaacha watu kinywa wazi baada ya kusema kuwa zawadi ya gari aina ya Range alilozawadiwa na mumewe kwenye siku yake ya kuzaliwa jana ni kwaajili ya kwenda sokoni tu.
Akizungumza jana na Global Tv kwenye hafla yake hiyo ya kutimiza miaka 30, Jojo alisema kuwa anamshukuru mume wake kwa kumjali na kumpenda japo huko nyuma alikutana na unyanyapaji kuhusiana na ngozi yake, lakini ukweli ni kwamba kupitia ngozi yake hiyo ikampa mume bora wa maisha yake ambaye wamepata watoto wawili.

Leave A Reply