The House of Favourite Newspapers

Video: Mwili Wa ‘Malcom’ Mtoto Wa Masoud Kipanya Wafanyiwa Ibada Dar

0

MALCOM Ally Masoud Kipanya ni mtoto wa mtangazaji maarufu na mchora katuni, Masoud Kipanya na Sara Chande alifariki dunia Jumatano, Julai 28, 2021.

 

Malcom amekuwa kitandani kwa miaka 14 akisumbuliwa na tatizo la udhaifu wa misuli unaosababisha kushindwa kufanya kitu chochote katika maisha yake.

Leave A Reply