Video: Mzee Yusuf Alivyoingia KIFALME Ukumbini DAR LIVE
BAADA ya kukaa nje ya muziki kwa uda mrefu, hatimaye mfalme wa Taarab, Mzee Yusuf na kundi lake lote la Jahazi Modern Taarab ameamua kurudi mjini na usiku wa leo Agosti 08, ameangusha bonge moja la burudani katika uwanja wa taifa wa burudani (DAR LIVE) uliopo Mbagala jijini Dar es salaam… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx