The House of Favourite Newspapers

Video: Radi Yaua Mama Mmoja, Mwanae Wa Miaka 3 Anusurika, Majirani Wasimulia

0


Mvua kubwa iliyonyesha na kuambatana na radi siku ya mkesha wa mwaka 2021 wilayani Kiteto mkoani Manyara, imesababisha kifo cha mwanamke mmoja aliyekuwa anakunywa maji usiku saa nne kwa kupigwa na radi huku mtoto mdogo wa miaka mitatu akinusurika.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply