The House of Favourite Newspapers

Video: Rais Magufuli Alivyopigilia Msumari Kuhusu Sakata la ‘Unga’

DAR ES SALAAM: Sakata la Madawa ya Kulevya limezidi kuchukua sura mpya kila baada Rais John Pombe Magufuli ‘kupighilia msumali wa moto’kuhusu jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kukamata na kuwahoji wasanii na askari wanatuhumiwa kujihusisha na baiashara ya madawa ya kulevya.

Rais ameonesha kumuunga mkono Mkuu wa Mkoa huyo katika hotuba yake aliyoitoa Baada ya kumuapisha Mkuu Mpya wa Majeshi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, Kamishna wa Magereza, Mnadhimu Mkuu na Mabalozi, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 06, 2017.

TAZAMA VIDEO

Comments are closed.