VIDEO: RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO AJALI YA LORI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza siku 3 za Maombolezo kufuatia ajali ya Lori la Mafuta kulipuka na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 60 Msamvu Mkoani Morogoro.


Loading...

Toa comment