KUFUATIA tuhuma za kudaiwa kutoa lugha chafu Bungeni mjini Dodoma hivi karibuni, Mbunge wa Kawe, Halima James Mdee (CHADEMA) jana aliliomba radhi bunge kwa kauli yake hiyo wakati wa uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki uliofanyika April 4, 2017.