The House of Favourite Newspapers

Video: Shabiki Aliamsha Dude Mkutano wa Yanga, Polisi Wambananisha!

Mwanachama maarufu wa Yanga kwa jina la JITU, aliyekuwa miongoni mwa wanachama wa Yanga waliokwenda mahakamani kupinga mkutano huo kipindi cha nyuma ametolewa ukumbini kwa msaada wa Polisi baada ya wanachama kumgeukia wakitaka atolewe.

Comments are closed.