The House of Favourite Newspapers

Video: Tambwe Afunguka Sababu Ya Kuachwa Yanga

0

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba na Yanga, Amis Tambwe, amesema kwa sasa kikosi cha Simba kipo vizuri katika nafasi zote ila kinachowafanya kukosa ushindi kwenye baadhi ya mechi zao ni kuingia ikijiamini kuwa itapata matokeo.

 

Akizungumza na Global TV, Tambwe amesema kuwa kama mchezaji unatakiwa ujielewe katika nafasi uliyopo kama Kagere ataendelea kufunga kutokana na anajua nafasi yake na jukumu lake.

Leave A Reply