The House of Favourite Newspapers

Video: Uncle Shamte Avujisha Siri Za Mama Dangote | Hotpot


KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Juni 04, wadakuzi wa mambo wamezungumzia ishu ya Diamond kudaiwa kununua gari ya ndoto yake aina ya Rolls Royce lenye thamani ya shilingi Milioni 700.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx