The House of Favourite Newspapers

Video: Wabunge 21, Madiwani 9 wa CUF Wajiunga ACT-Wazalendo

0

VITA baina ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha ACT-Wazalendo imeanza baada ya wabunge 21 na madiwani tisa wa CUF, waliomaliza muda wao, wakiongozwa na Ally Salehe, Mbunge wa Malindi Visiwani Zanzibar, kumejiunga na ACT-Wazalendo.

 

Wabunge hao wastaafu wamepokelewa leo Jumamosi  Juni 2020, 2020 jijini Dar es Salaam, na viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, akiwemo Maalim Seif Sharrif Hamad, Mwenyekiti wake na Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama hicho.

 

Leave A Reply