The House of Favourite Newspapers

Shehe Sharief: Magufuli Atavunja Rekodi Kupigiwa Kura – Video

0

SHEHE Sharifu Majini leo Juni 20,2020 ametabiri kuwa Rais John Magufuli atavunja rekodi kwa kupigiwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu.

 

Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akiwachambua kinyota wagombea wa urais katika uchaguzi huo ambapo amesema ushindi huo utakuja kwa sababu ya nyota ya herufi ‘M’ ambayo ni herufi ya kwanza kwenye jina lake la  Magufuli.

 

Pia amesema aliwahi kutabiri kuwa mwaka 2020 litatokea janga kubwa litakaloua watu wengi duniani, na amesema kutabiri wake umetimia kwa kutokea ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.

 

 

 

 

Leave A Reply