The House of Favourite Newspapers

VIWANJA – “Hatutaki Figisu Figisu Tunauza Kwa Mnada”- MAFURU

Kufuatia Mafanikio waliopata Jiji la Dodoma katika uuzaji wa viwanja kwa awamu mbili leo mkuu wa kitengo cha mipango miji na maliasili, joseph Mafuru ametangaza uuzwaji wa viwanja vya biashara kwa njia ya mnada jijini Dodoma vilivyo kilometa 3 kutoka mji wa serikali.

Akizingumza na waandishi wa habari mapema leo mafuru amesema viwanja hivyo 14 vya biashara vitauzwa kwa njia ya mnada ili kuleta uwazi katika utendaji kazi na ukizingatia viwanja hivyo ni vya biashara.

 

Comments are closed.