The House of Favourite Newspapers

VOA Duniani Leo: Wabunge, Wananchi Wamuomba Rais Kuimarisha Amani

0

HABARI za Kimataifa kutoka Sauti ya Amerika (VoA) Oktoba6, 2020, Mgombea wa urais wa Marekani kupitia Chama cha Democratic, Marekani Joe Biden ametoa wito kwa Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza amri ya kitaifa kuwataka watu kuvaa barakoa.

Na pia, Wabunge na wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamemuomba Rais wa nchi hiyo, Felix Tshisekedi kuimarisha amani.

Leave A Reply