The House of Favourite Newspapers

Vodacom Yajiandaa na Siku ya Mazingira Duniani

0
Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia akisalimiana na Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. Selemani Jafo wakati alipomtembelea ofisini kwake ikiwa ni maandalizi kuelekea siku ya kimataifa ya mazingira duniani, Vodacom ilipofanya ziara fupi ya miradi ya mazingira  mkoani Dodoma, Vodacom ni mojawapo ya wadau katika miradi endelevu inayolinda mazingira nchini.

 

Katika kuelekea maandalizi ya siku ya kimataifa ya mazingira duniani, Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia amemtembelea, Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. Selemani Jafo ofisini kwake ikiwa ni maandalizi kuelekea siku ya kimataifa ya mazingira duniani.

Leave A Reply