The House of Favourite Newspapers

Vodacom Yazindua Lipa kwa Simu Dodoma

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto (katikati), akimsikiliza mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya Shabiby, Mohammed Shabiby (kushoto) jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia huduma ya Vodacom ya Lipa Kwa simu yako.

KAMPUNI ya simu za mkononi nchini Vodacom, imezindua huduma ya Lipa kwa Simu yako katika Ofisi za Shabiby jijini Dodoma.

 

Katika uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto pamoja na mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya Shabiby, Mohammed Shabiby.

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto (kulia), akimsikiliza mfanyakazi wa kampuni ya mabasi ya Shabiby jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia huduma ya Vodacom ya Lipa Kwa Simu Yako wakati wa uzinduzi.
Muroto (kulia), akimsikiliza mhudumu wa Vodacom katika kampuni ya mabasi ya Shabiby jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia huduma ya Vodacom ya Lipa Kwa Simu Yako. Kushoto ni ni Meneja wa Lipa, Luis Maro.

 

 

Stori: Neema Adrian/GPL

Comments are closed.