The House of Favourite Newspapers

Breaking: Waitara Aibuka Mshindi Ubunge Ukonga – Video

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara (CCM) ameibuka mshindi wa kiti hicho baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura
kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.

VIDEO: TAZAMA MATOKEO HAYO YAKITANGAZWA

Comments are closed.