Wajue Wanamuziki matajiri zaidi Afrika
KAMPUNI ya Pulse Ghana imewaorodhesha wanamuziki matajiri zaidi Afrika — orodha hiyo haifuati umaarufu au utajiri wao.
1. Akon (Raia wa Senegal na Marekani)
Mwanamuziki huyo ambaye makao yake ni Marekani, anasemekena na utajiri wa dola milioni 80.
2. Black Coffee (Afrika Kusini )
Ana utajiri wa Dola milioni 60.
3. Hugh Masekela (Afrika Kusini)
Mwanamuziki huyo anayefahamika pia kama “Bra Hugh” ana utajiri wa Dola milioni 60.
4. Don Jazzy (Nigeria)
Utajiri wake ni Dola milioni 100.
5. Tinashe (Zimbabwe-Marekani)
Utajiri wake ni Dola milioni 5.
6. Jidenna (Nigeria-Marekani)
Ana utajiri wa Dola milioni 7.
7. Wizkid (Nigeria)
Ana utajiri wa Dola milioni 12.
8. Davido (Nigeria)
Ana utajiri wa Dola milioni 20.
9. Sarkodie (Ghana)
Utajiri wake ni Dola milioni 7.
10. Shatta Wale (Ghana)
Anaogelea katika utajiri wa Dola milioni 6.
Wengine ni: Burna Boy (Dola milioni 4), 2Face (Dola milioni 22), D’Banj (Dola ml. 22), P-Square (Dola mil. 70), AKA (Dola mil. 9.3 na Cassper Nyovest (Dola 570,000).
Chanzo: Pulse Ghana