The House of Favourite Newspapers

Wakazi wa Jiji la Dar Waichangamkia Shinda Nyumba

shinda-nyumba-1

Meneja Masoko wa Global Publisher, Jimmy Haroub (mwenye kofia nyekundu), akitoa maelekezo ya kujaza kuponi kwa wasomaji wa Msasani, jijini Dar.

shinda-nyumba-2

Jimmy Haroub akiendelea kutoa maelekezo ya kujaza kuponi kwa msomaji.

shinda-nyumba-3 shinda-nyumba-4 shinda-nyumba-5 shinda-nyumba-6 shinda-nyumba-7 shinda-nyumba-8 shinda-nyumba-9

..Maelekezo yakiendelea kutolewa kwa wasomaji.shinda-nyumba-10 shinda-nyumba-11 shinda-nyumba-12 shinda-nyumba-13 shinda-nyumba-14 shinda-nyumba-15 shinda-nyumba-16 shinda-nyumba-17 shinda-nyumba-18 shinda-nyumba-19

Jimmy akiendelea kutoa maelekezo namna ya kujaza kuponi ya Shinda Nyumba, kuikata na kuituma kwenye ofisi za Global Publishers.shinda-nyumba-20

Msomaji wa Gazeti la Championi, Ramadhani  Kisengo akisengo akiperuzi gazeti lake wakati akiwa amekwishakata kuponi yake ya Shinda Nyumba.

shinda-nyumba-21

Wafanyakazi wa Global Publishers, wakipitia gazeti la Championi Ijumaa.

WAKAZI wa viunga mbalimbali vya Jiji la Dar es Salaam leo wamechangamkia Shindano la Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers ambao ni wachapishaji wa Magazeti ya Championi, Ijumaa, Risasi, Amani, Uwazi na Ijumaa Wikienda.

Global Publishers iliwafikia wasomaji wake wa maeneo ya Msasani, Tandale, Magomeni, Mwananyamala, Sinza na kwingineko ambapo wamejitokeza kwa wingi katika kununua magazeti na kujaza kuponi kwa ajili ya kushindania nyumba awamu ya pili.

“Nawakubali sana Global na mimi nimeamua kushiriki baada ya kugundua kuwa Shinda Nyumba ni ya ukweli baada ya kumuona mshindi toka mkoani Iringa akizungumza mwenyewe kuwa kashinda kwa kununua magazeti yenu,” alisema Yusuph wa Tandale”.

Mbali na zawadi ya nyumba, zawadi nyingine zitakazotolewa katika droo ndogo ni pikipiki, runinga, simu, vyombo vya ndani na zawadi nyingine kibao. Huku droo ya kwanza itachezeshwa Februari 8, mwaka huu.

NA GABRIEL NG’OSHA/GPL

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

Comments are closed.