The House of Favourite Newspapers

Waliofariki kwa Ajali ya Moro Wafikia 100

Majeruhi wa ajali ya lori kulipuka moto Morogoro waliofariki jana Agosti 20, 2019 ni;
1. Mazoya Sahani
2. Khasim Marjani
3. Ramadhani Magwila.

 

Wamebaki majeruhi 15 kati ya majeruhi 47 waliofikishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakitokea Morogoro.

Taarifa hiyo imetolea na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminiel Aligaesha.

Jumla ya waliofariki mpaka sasa tangu ajali hiyo ilipotokea Agosti 10, 2019, ni watu 100.

Comments are closed.