The House of Favourite Newspapers

Wanahitajika Mawakala wa Matangazo (Advertising Agencies)

0
GLOBAL PUBLISHERS ni kampuni inayomiliki vyombo vya habari vya Global TV Online, Global Radio, magazeti ya Ijumaa, Championi, Spoti Xtra na Mitandao yake ya kijamii (Facebook, Instagram na Twitter).
 
GLOBAL inakaribisha makampuni, yaliyopo jijini Dar es salaam na mikoa mingine, yanayojishughulisha na uwakala wa matangazo (Advertising Agency) kwa ajili ya Online TV, Radio, Social Media na magazeti, kuleta maombi ya kutafuta na kupokea matangazo kwa niaba ya Global.
 
Hi ni fursa ya kipekee ya kutumia majukwaa maarufu ya Global Publishers yenye mamilioni ya wafuatiliaji Tanzania na duniani kote kutangaza huduma na bidhaa mbalimbali za wafanyabiashara, wajasiriamali na kujipatia kipato. Wahi kuleta maombi yako haraka, tunatoa commission nzuri kwa kila tangazo utakaloleta.
 
Mwisho wa kupokea maombi ni Februari 15, 2021.
Maombi yako elekeza kwa:
 
MENEJA MKUU
S.L.P 7534
DAR ES SALAAM
Wasilisha mwenyewe ofisini kwetu, Sinza Mori, GLOBAL GROUP HOUSE, PLT 238, BLOCK 43 au PIGA simu 0715 288 627.
Leave A Reply