The House of Favourite Newspapers

Wananchi wa Chato Wafurika Kumlaki JPM

0

20160329053438Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Chato, Mkoani Geita mapema leo mara baada ya kuwasili. Rais Dkt Magufuli anawasili wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa rais.

20160329045635 (1)

Wakazi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoani Geita, wakiwa wamekusanyika kwa wingi wakisubiri kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ambaye amewasili leo mjini humo alikozaliwa. 

20160329045635
20160329045639Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea mtoto wa nyumbani kwao Chato, Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli viwanja vya Mjini Chato mkoani Geita muda huu.

Leave A Reply