Wanawake wengi wanaendeshwa na hisia kuliko uhalisia

vegeterians-couple-bedTAFITI zilizochimbwa na gazeti hili zimebaini kuwa wanawake wengi wanaendeshwa sana na hisia kuliko uhalisia.

Katika tafiti hizi, kati ya wanawake wanne mmoja ni lazima utamsikia akijisifia kwamba anapenda mwanaume mwenye sifa anazozitaka mfano mwenye kifua kipana, mrefu kidogo, mstaraabu, Mcha Mungu wakati yeye hana sifa zote hizo.

Tafiti hizi zimelenga vyuoni, shuleni na ofisi mbalimbali zenye idadi kubwa ya wanawake.


Loading...

Toa comment