The House of Favourite Newspapers

Wapinzani Wawagomea Chadema – ”Wanajifanya Special Sana, Maandamano Hayana Macho – Video

0


Katibu Mkuu wa Chama cha DP, Abdul Mluya  amezungumza hayo kwa niaba ya Vyama 13 vyenye usajili Nchini, mbele ya Wanahabari leo, Jumatano Januari 17.2024

“Malengo yetu ni kuanzisha malengo mahsusi dhidi ya amani na Umoja wa Kitaifa wa Nchi yetu, njia hii ya maandanamano inakinzana na Utamaduni wetu kwa sababu Ina viashiria vya kuvunja amani, ni haki lakini si kila haki uitumie, haki nyingine unaziacha sio maandanamano tu, ni haki kwa Chama kupeleka maendeleo kwa Wananchi wake lakini hatufanyi”

“Sisi hapa hatupati ruzuku, lakini wapo wanaopata ruzuku, ni Chama gani kimejenga madarasa kutokana na pato la ruzuku, ni haki yao pia kufanya hivyo, hiyo ni haki ya kuwapelekea Watu maendeleo lakini tunaiyona kama sio haki”

 

Leave A Reply