The House of Favourite Newspapers

WASANII WALIVYOMUAGA MASOGANGE VIWANJA VYA LEADERS

Jeneza lenye mwili wa Agnes Masogange kabla ya kuagwa viwanja vya Leaders, Kinondoni, Dar es Salaam, leo.
Msemaji wa Klabu ya Simba ya jijini Dar, Haji Manara (mbele)akiuaga mwili wa Masogange.
Msanii Mrisho Mpoto (mwenye rasta) akiaga.
Mwigizaji Jacqueline Wolper (mbele) akiaga.
Blandina Chagula ‘Johari’ akitoa heshima zake za mwisho.
Msanii Kajala (mbele) akipita mbele ya jeneza na msanii mwingine.
Ben Kinyaiya na Shamsa Ford wakitoa heshima zao.
Wananchi na wasanii mbalimbali wakisubiri kutoa heshima zao.
Wasanii wakimtuliza msanii mwenzao, Johari.

 

Wasanii mbalimbali nchini wakiwemo Jacqueline Wolper, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Anti Ezekiel, leo wameungana kuuaga mwili wa Masogange kwenye viwanja vya Leaders jijini.

Marehemu Masogange amesafirishwa leo kuelekea Mbeya ambako anatazamiwa kuzikwa kesho (Jumatatu).

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.