The House of Favourite Newspapers

Washindi Droo ya Kwanza PataPata na Tigo Pesa Wanyakua Milioni 5

0
Droo hiyo ikichezeshwa chini ya msimamizi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha, Elibarik Sengasenga (kulia).

Patapata Na Tigopesa atokea Dodoma: “Mathias January ndiye mshindi wetu wa milioni 5” Lumuliko Mengele-Meneja Utendaji wa The Network Limited

UNGA MWAKA NA MILIONI 10

PataPata na Tigopesa, Tigo na Kampuni ya The Network yachezesha droo ya washindi Jumla ya Tsh Milioni 10. Washindi wawili kushinda milioni 5 kila mmoja.

Mmoja wa maofisa kutoka Tigo akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

JINSI YA KUSHIRIKI NA USHINDE:

Kushiriki mchezo PataPata Na TigoPesa mteja anatakiwa kwenda kwenye menu ya Tigo Pesa na kuchagua namba 4-Lipa bili, halafu anaingia namba 7-Michezo, anachagua namba 1-PataPata, na kuingiza namba za boksi alizochagua kati ya 1 hadi 6, vilevile atakatwa sh. 300. Baada ya hapo atapata majibu kama ameshinda na zawadi yake itaingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa.

Leave A Reply