The House of Favourite Newspapers

Washiriki Miss Kanda ya Ziwa Watembelea Kiwanda cha SBL Mwanza

0
Meneja mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Mwanza, Patrick Kisaka, akiwaongoza baadhi ya warembo walioshiriki kuwania taji la Miss Kanda ya Ziwa 2021 walipofika kutembelea kiwanda cha kampuni hiyo kilichopo jijini Mwanza. Mashindano hayo yamedhaminiwa na bia ya Pisner inayozalishwa na kiwanda hicho.

 

 

Warembo walioshiriki katika shindano la Miss Kanda ya Ziwa wakifuatilia mafunzo ya kuchukua tahadhari dhidi ya Covid-19 kabla ya kuanza kutembelea kiwanda cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza. Mashindano hayo yamedhaminiwa na bia ya Pilsner inayozalishwa na kiwanda hicho.

 

 

Meneja uzalishaji wa kampuni ya bia ya Serengeti kiwanda Mwanza Rolinda Samson (wa kwanza kulia) akizungumza na warembo walioshiriki shindano la Miss Kanda ya Ziwa waliotembelea kiwanda hicho jana. Kulia kwake ni Meneja Mauzo wa SBL Patrick Kisaka.

 

 

Mhandisi wa uzalishaji katika kiwanda cha cha Bia cha Serengeti tawi la Mwanza, Isaya John (Kulia) akiwapa maelezo warembo hao juu ya bia hiyo inavyozengenezwa walipotembelea kiwanda hicho jana.
Leave A Reply