The House of Favourite Newspapers

Wasomaji Makongo Wasema ‘Uwazi Ndiyo Mpango Mzima’

0

1.Adinani Omari msomaji wa Uwazi mkazi wa Makongo Juu akilisoma gazeti lake. Anayemshuhudia ni muuzaji wa magazeti ya Global, Mwamvita Rashid.        Adinani Omari msomaji wa Uwazi, mkazi wa Makongo Juu akilisoma gazeti hilo. Anayemshuhudia ni muuzaji wa magazeti ya Global, Mwamvita Rashid.

2.Msomaji wa Uwazi aliyejitabulisha kwa jina moja la Kileo (kulia) akilisoma gazeti hilo eneo la Makongo Juu.Msomaji wa Uwazi aliyejitabulisha kwa jina moja la Kileo (kulia) akilisoma gazeti hilo eneo la Makongo Juu.

3.Msomaji wa Uwazi, Flora Amos (kushoto) akipozi na muuzaji wa magazeti hayo, Mwamvita Rashid.Msomaji wa Uwazi, Flora Amos (kushoto) akipozi na muuzaji wa magazeti hayo, Mwamvita Rashid.

4.Wasomaji wakinunua Uwazi kwa Mwamvita.Wasomaji wakinunua Uwazi kwa Mwamvita.

5.Mwanamama amabaye ni mdau wa Gazeti la Uwazi na  mjasiliamali mkazi wa Goba njia nne, Mama Getty Mushi akilisoma gazeti hilo.Mwanamama ambaye ni mdau wa Uwazi na mjasiriamali mkazi wa Goba-Njia Nne, Mama Getty Mushi, akilisoma gazeti hilo.

WASOMAJI wa gazeti la Uwazi, leo walionekana kulichangamkia gazeti hilo katika mitaa ya Makongo Juu na maeneo mengine ya jiji la Dar es Saalaam wakisema wanalikubali kwa habari zake za kijamii na za uchunguzi.

6.Boniphace Katende akinunua Gazeti la Uwazi kwa Mwamvita.Boniphace Katende akinunua gazeti la Uwazi kwa Mwamvita.

Timu ya gazeti hilo ilitinga kama kawaida eneo hilo na kuzunguka sehemu mbalimbali ambapo wadau kibao walionekana wakiwa wamelinunua na wengine kusogea karibu na gari la matangazo lililokuwa likipita maeneo hayo, wakaeleza kuwa wanalikubali kwa kila kitu.

7.Wasoamaji wakiendelea kununua gazeti la Uwazi.Wasomaji wakiendelea kununua magazeti ya Uwazi.

Walisema  kinachowavutia zaidi ni namna linavyochimbua matukio mbalimbalimbali ya kila siku  yanayotokea katika jamii na wao kuyasoma ndani ya gazeti hilo.

8.Mwamvita amimuuzia gazeti la Uwazi, Ally Mikidadi.Mwamvita akimuuzia gazeti la Uwazi, Ally Mikidadi.

“Kwa kweli Uwazi ndiyo gazeti bora Bongo, ndiyo mpango mzima, habari zake na makala zinanifanya nisiache kulinunua kwani ndilo linaloandika habari za uchunguzi kwa undani,” alisema Mama Getty Mushi mkazi wa Goba.

9.Msomaji wa Uwazi akilisoma gazeti hilo baada ya kulinunua kwa Muuzaji wa magazeti ya Global Publishers, Mwamvita Rashid.Msomaji wa Uwazi akilisoma gazeti hilo baada ya kulinunua kwa muuzaji wa magazeti ya Global Publishers, Mwamvita Rashid.

Naye Mhariri wa gazeti hilo, Elvan Stambuli, ameendelea kutoa wito kwa wasomaji  wa magazeti ya Global Publishers ya Ijumaa Wikienda, Risasi, Amani, na Championi, kuendelea kulinunua Uwazi kwa bei ya Sh.500 kwani thamani ya kilichomo ndani yake ni zaidi ya bei hiyo.

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply