The House of Favourite Newspapers

Wateja wa Tigo na Uber kujivinjari na Helikopta Dar Ijumaa

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tigo Simon Karikari (kushoto) , akipeana mkono wa pongezi na Meneja wa Uber Tanzania Alfred Msemo, muda mfupi baada ya kuzindua promosheni ambayo itawawezesha wateja wa Tigo wanaotumia Uber pamoja nabaadhi ya  washindi wa promosheni ya Jigiftishe kupanda helkopta siku ya Ijumaa na kufurahia mandhari ya Dar es Salaam wakiwa angani.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tigo Simon Karikari ( kulia) akibadilishana mawazo na Meneja wa Uber Tanzania Alfred Msemo (wa pili kulia) na Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo Hussein Sayed. 
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tigo Simon Karikari (wanne kulia) na Meneja wa Uber Tanzania Alfred Msemo (wa tatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Tigo na Uber muda mfupi baada ya kuzindua promosheni  itayowawezesha wateja wa Tigo wanaotumia Uber pamoja nabaadhi ya  washindi wa promosheni ya Jigiftishe kupanda helkopta siku ya Ijumaa na kufurahia mandhari ya Dar es Salaam wakiwa angani.

 

Comments are closed.