The House of Favourite Newspapers

Watoto Wawili Wafia Ndani ya Gari Mama Akiwa Ibadani – Video

0

WATOTO wawili wa familia moja wamekutwa wamekufa ndani ya gari aina ya (Nissan Double Cabin) kwa kukosa hewa baada ya kujifungia milango huku vioo vikiwa vimefungwa nje ya Kanisa huku mama yao akiwa kwenye ibada.

 

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, Muliro Jumanne amesema tukio hilo limetokea juzi Jumapili Salanga Ugindoni Kigamboni, Dar es Salaam wakati mama yao Neema Shayo (33) akiwa kwenye ibada kwenye Kanisa la Efatha.

Leave A Reply