The House of Favourite Newspapers

Watu 13 Wafariki Katika Tetemeko La Ardhi Albania – Video

Watu 13  wamepoteza maisha na wengine zaidi ya  320 wamejeruhiwa katika tetemeko la Ardhi lililotolea asubuhi ya Novemba 26 huko Albania.

Tetemeko hilo lenye ukubwa wa Magnitude 6.4 limeathiri zaidi mji mkuu wa Durres, na shughuli za uokozo bado zinaendelea kwani kuna idadi kubwa ya watu ambao hawajulikani walipo.

Waziri mkuu wa Albania Edi Rama amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kuwashukuru majirani zao  Italy and Greece kwa kuwasaidia katika shughuli  za uokozi.

Comments are closed.