The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Waziri Abdallah Kigoda afariki dunia

0

Waziri wa viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda (Mb) enzi za uhai wake.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Abdalah Kigoda amefariki dunia majira ya saa kumi jioni ya leo katika hospitali ya Appolo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungao wa Tanzania kupitia kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano imekili kupokea taarifa za msiba huo jioni ya leo na kusema kuwa, taarifa zaidi kuhusu taratibu za kuusafisha mwili wa marehemu kutoka India kuja hapa nchini na mipango ya mazishi zitaendelea kutolewa na serikali pamoja na Ofisi ya Bunge kwa ushirikiano na familia kadri zitakavyokua zinaendelea kupatikana.

“Inna Lillahi wa inna ilaihi raji’un”

Leave A Reply