The House of Favourite Newspapers

Magufuli awaibukia Nape, Membe

0

magufuli akimnadi Nape katika jimbo la Mtamba viwanja vya soko la MajengoMgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli (kushoto) akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye katika Viwanja vya soko la Majengomagufuli akimwaga sera katika viwanja vya mpilipili Lindi mjiniMagufuli akimwaga sera katika viwanja vya Mpilipili, Lindi Mjini.Magufuli akinadi sera katika jimbo la mtama viwanja vya soko la majengoMagufuli akinadi sera katika jimbo la Mtama Viwanja vya Soko la Majengomagufuli na mama Salma Kikwete wakifurahia jamboMagufuli na Mama Salma Kikwete wakifurahia jambo.mama akimkimbilia magufuli katika kijiji cha Nangumbu Lindi baada ya kumsikia akipita kijijini hapoMama akimkimbilia Magufuli katika kijiji cha Nangumbu, Lindi baada ya kusikia akipita kijijini hapo.Mama Salma akimsalimia Mafufuli kulia NapeMama Salma kikwete akimsalimia Mafufuli kulia Nape.mama Salma Kikwete akiwaasa wakazi wa Lindi mjini kumchagua Magufuli kwa maendeleoMama Salma Kikwete akiwaasa wakazi wa Lindi Mjini kumchagua Magufuli kwa maendeleo.Membe akimpigia debe Magufuli Lindi mjini katika viwanja vya MpilipiliWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Ntama (CCM) Mh. Bernard Membe akimpigia debe Magufuli Lindi Mjini katika viwanja vya Mpilipili.
kadi zilizoridishwa CCM katika mkutano uliofanyika Ruangwa LindiKadi za wanachama wa upinzani waliohamia CCM katika mkutano uliofanyika Ruangwa Lindi.Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim MajaliwaMagufuli akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim MajaliwaMembe akiwasalimia mama salma Kikwete na MagufuliMembe akiwasalimia mama salma Kikwete na Magufuli.RPC wa Lindi, Renata Mzinga akilinda usalama na vijana wake wakati mkutano wa Magufuli ukiendelea uwanja wa Sokoine NachingweaRPC wa Lindi, Renata Mzinga akiimarisha usalama nakikosi kazi chake wakati mkutano wa Magufuli ukiendelea Uwanja wa Sokoine Nachingwea.Ali Kiba akikamua kwenye viwanja vya Soko la Majengo Jimbo la MtamaAli Kiba akikamua kwenye viwanja vya Soko la Majengo Jimbo la Mtama.chege na tembaChege na Temba wakifanya yao.vijana wa jimbo la mtama Vijana wa jimbo la MtamaWazee wa jimbo la mtama lindi wakionyesha kumkubali magufuliWazee wa jimbo la Mtama, Lindi wakionyesha kumkubali Magufuli.yamoto band wakikamua muda mfupi kabla ya Magufuli kuanza kumwaga seraYamoto Band wakikamua muda mfupi kabla ya Magufuli kuanza kumwaga sera.

Mgombea urais wa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli leo ‘ameibukia’ katika Mkoa wa Lindi kwa kufanya mikutano ya kampeni maeneo mbalimbali mkoani humo ikiwemo jimbo la Mtama lililokuwa likishikiliwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kabla ya kumuachia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye anayegombea ubunge wa jimbo hilo hivi sasa.

Baadhi ya maeneo na majimbo ambayo Magufuli alifanya kampeni hii leo ni Nachingwe katika Uwanjwa wa Sokoine huku mikutano mingine mikubwa zaidi ya Saba akifanya katika maeneo ya Chihola, Jimbo la Ruangwa, Jimbo la Mtama ambapo mkutano ulifanyika katika viwanja vya Soko la Majengo.

Baada ya hapo Magufuli alimalizia kampeni zake kwa leo katika mkutano ulihudhuliwa na umati mkubwa wa watu.

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL ALIYEKUWA LINDI

Leave A Reply