The House of Favourite Newspapers

VIDEO: LUGOLA AAMBIWA VURUGU ZA POLISI KIWANDA CHA TUMBAKU MORO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), akimfafanulia jambo Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Richard Sinamtwa (kulia), wakati alipofika kiwandani hapo mjini Morogoro kusikiliza malalamiko ya viongozi wakuu wa kampuni hiyo ambao wanadaiwa kufanyiwa vurugu na polisi wanne waliofika ofisini hapo kwa lengo la kuwakamata bila kufuata utaratibu. Kushoto ni Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Mugabo Wekwe.
…Akimsikiliza Richard Sinamtwa, akitoa malalamiko dhidi ya polisi. 

 

 

…Akiendelea kumsikiliza Sinamtwa na mkurugenzi mwenzake (kulia).  PICHA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

Comments are closed.