The House of Favourite Newspapers

Waziri Lukuvi: “Rais Magufuli Amenituma Huyu Bibi Apewe Kiwanja Chake”-Video

0


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi Juni 21, 2020 amerudisha shamba la Bibi aliyelalamika wiki Chache zilizopita kuporwa eneo lake.

Waziri Lukuvi amesema amefika kwa maelekezo ya Rais John Magufuli baada ya kumwona Bibi huyo kwenye kipande Cha video (clip) iliyokua mtandaoni na kusikitishwa na kitendo hicho cha kuporwa ardhi yake aliyokua akimiliki kwa halali aidha waziri Lukuvi amempongeza DIWANI wa kata ya Boma mbuzi Juma Raibu kwa kuibua Jambo hilo na kupelekea haki yake kupatikana

Leave A Reply