The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu akiwa Bungeni Dodoma leo

0

1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma leo Januari 24, 2016. Kutoka kushoto ni Dkt. Raphael Chegeni wa Busega, Adadi Rajabu wa Mhuheza na Jason Rweikiza wa Bukoba Vijijini.

2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busega, Dkt.Raphael Chegeni kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma leo Januari 24, 2016.

3

Waziri Mkuu, Kassim Majlaliwa akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge Ofisini kwake mjini Dodoma leo Januari 24, 2016.

4

Waziri Mkuu, Kassim Majlaliwa akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge Ofisini kwake mjini Dodoma leo Januari 24, 2016.

Leave A Reply