The House of Favourite Newspapers

Waziri Silaa Awajibu Wanaosema Anaingilia Mahakama – Video

0


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ametoa ufafanuzi kuhusu watu wanaodhani anaingilia mahakama katika baadhi ya kesi za migogoro ya ardhi ambazo tayari zilishatolewa ufafanuzi.

Silaa ameeleza hayo alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za Pasaka katika Kanisa la WRM lililopo Kivule, Ilala jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply