Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula,akizungumza jambo na na uongozi wa Chuo wakati akifungua mafunzo ya wiki moja kwa mawakala wa mali zisizohamishika kozi inayoendeshwa na Chuo cha Elimu ya Biasahara (CBE).Kaimu Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara, Profesa Tandi Luoga akizungumza na viongozi wenzake wakati wakimsubiri Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, wakati akifungua mafunzo ya wiki moja kwa mawakala wa mali zisizohamishikaBaadhi ya washiriki wa kozi hiyo wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, wakati akifungua mafunzo ya wiki moja kwa mawakala wa mali zisizohamishika
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufungua mafunzo ya wiki moja kwa mawakala wa mali zisizohamishika katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)