The House of Favourite Newspapers

We baba fanueliii!!!-20

0

ILIPOISHIA

Wala hawakuchukua muda mrefu, wakafika nyumbani kwa mama Zubeda, alichokifanya ni kuingia ndani bila kubisha hodi, alipofika sebuleni, akamkuta baba Zubeda akiwa kajaa tele. Mama Zubeda naye akaingia huku akitetemeka.

TEMBEA NAYO

Karibu sana,” alisema baba Fanueli huku akikenua meno kama ngiri.

“Asante!” alisema mama Zubeda huku akijiweka kitandani.

Baba Fanueli alibaki akimwangalia mama Zubeda kwa macho ya matamanio, kila alipomwangalia, udenda ulimtoka, mzuka wa kufanya ngono ndani ya chumba kile ukamtawala.

            Alichokifanya ni kumsogelea kisha kushtua simu kuona kama ilikuwa na chaji, mama Zubeda akaruka.

“Nini tena?”

“Mbona umenitekenya?”

“Nilikuwa naangalia kama zipo,” alijibu baba Fanueli.

Mama Zubeda akawa mtu wa kujionea aibu mle chumbani, kila alipokuwa akikiangalia kitanda kile cha futi sita kwa sita hakuamini kama ndiyo ilikuwa sehemu pekee ya kumsaliti mume wake ambaye hakuwahi kumsaliti hata siku moja.

Hakumpenda mzee huyo, alimchukia lakini kwa sababu maji yalifika shingoni, hakuwa na jinsi, alitaka kuificha siri iliyokuwa moyoni mwake juu ya picha zile.

“Ila….” alisema mama Zubeda.

“Ila nini?”

“Hizo picha zangu ulizitoa wapi?”

“Hahah! Unauliza nilizitoa wapi? Hujui kama mimi mpelelezi?”

“Mmh! Makubwa.”

“Kwa hiyo?”

“Ila si unaweza kunisaidia tu jamani?”

“Kukusaidia haiwezekani kwa kweli! Kwani tukifanya utaumia?”

“Hapana!”

“Sasa unaogopa nini?”

“Mume wangu atajua tu.”
“Sasa atajuaje? Utamwambia?”
“Mmh! Sijipendi!”

Walibaki wakizungumza tu, akili ya baba Fanueli ilikuwa ikimfikiria msichana huyo tu. Alijua kwamba piga ua alikuwa achomoki ndani ya chumba hicho.

Alipoteza muda wake, alipoteza hela zake za kuchukulia chumba, halafu mwanamke huyo anamwambia eti aachane na mambo ya picha, amsamehe tu, hilo lilikuwa jambo lisilowezekana hata kidogo.

“Kwa hiyo?”

“Jamaniiiii…”

“Utanipa hunipi?”

“Nitakupa ila….”

“Ila nini?”

“Bado naogopa.”

“Kwa hiyo nikaonane na mumeo?”

“Hapana!”

Kitu kilichokuwa kikimsumbua mama Zubeda kichwani mwake ni juu ya mwanaume yule aliyelala naye ambaye ndiye alikuwa chanzo cha baba Fanueli kuzipata picha zile.

Alikuwa na uhakika kwamba mzee Paulo na baba Fanueli lengo lao lilikuwa moja na ndiyo maana walimkamata kirahisi sana.

Kila alipojifikiria hilo, wakati mwingine alijiona kuwa mjinga sana kumkubalia mzee Paulo, tena kirahisi sana, mpaka wakati mwingine akawa anajiuliza kama mwanaume yule alitumia dawa au la!

“Unamjua yule mzee?”

“Mzee yupi?”

“Huyo wa kwenye picha!”

“Kwani kuna cha kumjua? Hapa cha muhimu kwenye picha ni wewe au si wewe.”

“Ni mimi!”

“Basi sawa! Sogea kwangu. Muda unakwenda, chumba chenyewe nimechukua shoti taimu,” alisema baba Fanueli huku akisimama na kuanza kuvua nguo yake ya ndani.

“Baba Fanueli….”

“Unasemaje?”
“Hivi ni kweli nataka kufanya na wewe?”

“Ndiyo! Kwani mimi si mwanaume?”

“Daah! Na umalaya wako huo wa kubadilisha wanawake!”

“Nani kakudanganya?”
“Kwani unafikiri sizipati stori zako?”
“Sawa! Unazipata, tena nyingi sana na nyingine zipo ambazo wala huzijui, swali lipo palepale, utanipa hunipi?” alisema baba Fanueli huku akimwangalia mwanamke huyo usoni.

“Kukupa nitakupa lakini utazifuta hizo picha?”

“Ndiyo! Tena utazifuta kwa mkono wako, wewe tumalizane tu,” alisema baba Fanueli.

Mama Zubeda hakuwa na la kufanya, akakubaliana na baba Fanueli hivyo naye kuanza kuchojoa.

Kwa jinsi alivyoliona umbo la mwanamke huyo, baba Fanueli alichanganyikiwa, hakuamini kama yule aliyekuwa mbele yake alikuwa mwanamke mwenye umri wa miaka zaidi ya arobaini.

Alijaajaa, alipendeza, ngozi yake ilinoga machoni mwake, kila alipoiangalia michirizi ya ngozi yake, baba Fanueli akachanganyikiwa mno.

“Sogea huku, njoo unipe chaji kwanza,” alisema baba Fanueli huku akimvuta mama Zubeda kule alipokuwa yeye.

“Nakupa mahaba motomoto, nitatumia ujuzi wangu wote…”

“Sawa, nafurahi sana kusikia hivyo!”

Kilichofuata ni kuanza kupashana moto ili kuwa tayari kwa kile kilichotarajiwa kufanyika.

Muda wote baba Fanueli alikuwa akihema kama mbwa aliyekimbia umbali mrefu, udenda ulimtoka, akashindwa kuamini kama mzee Paulo alimfanikishia kile kilichotaka kutokea mahali hapo.

Ni ndani ya dakika tano, baada ya kupashana joto vya kutosha, mwanamke huyo alikuwa juu yake, amejiachia huku akihema kama mtu aliyekimbia toka Magomeni mpaka Kinondoni, ni milio ya miguno na kitanda ndiyo iliyokuwa ikisikika.

Je, nini kitaendelea? Tukutane Alhamisi ijayo.

Leave A Reply