Wiki ya Wanawake Kimataifa, Vodacom Yahamasisha Wasichana Kujifunza Tehama
Wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali za sekondari nchini wakionesha jinsi ya kutengeneza tovuti baada ya kupata mafunzo ya tehama kupitia mpango wa Code like a girl wenye kuwezesha Wasichana kujifunza bunifu mbalimbali kupitia mafunzo ya Tehama yaliyoandaliwa na taasisi ya dLab na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Plc.