The House of Favourite Newspapers

WILLE: Simuombi Msamaha Dudu Baya (Baba Yake) – VIDEO

Baada ya kufanya mahojiano maalum na mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop Bongo, Dudu Baya, kuhusiana na sakata la kudaiwa kumtelekeza mwanae Wille, Global TV imeamua kutia maguu mpaka katika Fukwe za Coco Beach na kumtafuta Wille ili aweze kuelezea mkasa mzima wa yeye kutengana na Baba Yake mzazi.

 

Fuatilia Video hii Mwanzo Mwisho uweze kuelewa kilichosababisha mtafaruku huu wa baba na mwana.

KIMEKUKA! Dudu Baya Amvaa Dully Sykes, Aporomosha Kauli Nzito

Comments are closed.