The House of Favourite Newspapers

Winga wa Yanga Mwenye Spidi Dickson Ambundo Kasepa na Dakika 256

0
                                                        Winga wa Yanga Dickson Ambundo

WINGA mmoja hivi mwenye spidi awapo uwanjani na ni mzawa ambaye aliweza kuwa shujaa mbele ya Polisi Tanzania alipoweza kufunga kwa mara ya kwanza.

 

Jina lake ni Dickson Ambundo ambaye ni mali ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, tupo naye leo kwenye mwendo wa data.

 

Ni mechi 7 kacheza ndani ya ligi na katika hizo hakuna mechi hata moja ambayo aliyeyusha dk 90 mazima. Huyu hapa:-

 

Mechi 7

 

Dk 256

Bao 1

Kushoto 1

Eneo ndani ya 18

Asisti 0

Kadi nyekundu 0

Njano 0

                            Dickson Ambundo winga mwenye spidi wa klabu ya Yanga

 

Mechi zake

Coastal Union dk 10

Polisi Tanzania dk 41

Mbeya City dk 25

Mtibwa Sugar dk 7

Kagera Sugar dk 86

Geita Gold 28

Azam FC dk 59

Leave A Reply