The House of Favourite Newspapers

Witnes na Picha ya Nusu Utupu

1

maxresdefaultggg

Witnes Mwaijage ‘Kibonge Mwepesi’

Stori: Andrew Carlos
BAADA ya picha kusambaa mitandaoni ikimuonesha akiwa amembeba mtoto huku akiwa nusu utupu na kusababisha mashabiki wamponde, staa wa Hip Hop, Witnes Mwaijage ‘Kibonge Mwepesi’ amefungukia picha hiyo kuwa ni mtazamo wao.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Witness aliyewahi kubamba kwenye Kundi la Wakilisha akiwa sambamba na Sarah Kaisi ‘Shaa’ pamoja na Langa Kileo alisema kuwa, anaweza kufanya jambo kwa nia njema lakini mtu mwingine akaligeuza aonavyo.

“Sijali ni mtazamo wao so kwa nini nipoteze muda wa kuanza kumuelewesha mtu ambaye simjui? Acha waponde watakavyo,” alisema Witness.

SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

1 Comment
  1. bob p nac says

    Jiangalie bwana umekua

Leave A Reply