The House of Favourite Newspapers

Yaliyojiri Bungeni Leo Jumatano

0

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Upendo Pendeza kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017.

Waziri wa Nchi,  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi, Hamad Masauni  na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega bungeni mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 
Waziri wa Nchi,  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi, Hamad Masauni, bungeni mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri wa Maji, Mhandisi Gerson Lwenge  akwasilisha Makadiro ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2017/18, bungeni mjini Dodoma, Mei 10, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Leave A Reply