The House of Favourite Newspapers

Yaliyomo kwenye Gazeti la Amani, leo Alhamisi

0

gari

Siku chache baada ya kumtusi Diamond na vijigari vyake vya 30,000/=…
Gari la Wema Siri nje
-Aliyemhonga ajulikana
-Wolper achekelea meno 32 nje
-Unataka kujua nani kamhonga, ilikuwaje?

Steve Nyerere alishwa sumu
-Ilikuwa nusura afe
-Amshangaa Mungu
-Unataka kufahamu kisa kamili kilikuwaje?

Trafiki anaswa kwa rushwa
-Unataka kufahamu ilikuwaje?

Mbasha anaswa live na ‘kifaa’
-Ni baada ya kupotezea taraka kwa Flora
-Anaswa akiwa na mrembo
-Mbasha abanwa na Amani, mwenyewe afunguka
-Je, unataka kufahamu aliyonena Mbasha na ukweli kuhusu mrembo huyo?

Kufahamu undani wa haya na mengine mengi, usikose kusoma Gazeti la AMANI, leo Alhamisi.

Leave A Reply