The House of Favourite Newspapers

Yaliyomo kwenye Gazeti la Ijumaa, leo

0

Magufuli

Ziara zake za kushtukiza… Magufuli azua kizaazaa Moro

-Kimenuka, Maafisa wa Mahakama wahenyeshwa

-Kweli hapa kazi tu!

-Unataka kufahamu tukio zima lilikuwaje?

Ray C arekodiwa Video ya X

-Mwenyewe akiri

-Afunguka ya moyoni kuhusu tukio hilo

-Unataka kujua ilikuwaje, video hiyo nani kamrekodi na imesambaaje?

Mke amfanyia mwanaye umafia

-Amfungia ndani kwa saa tano usiku

-Atokomea

-Majirani wamuokoa mtoto

-Unataka kufahamu ni wapi na ilikuwaje?

Hii sasa ni fedheha… 

-Msanii Bongo avua nguo studio

-Apiga picha za nusu utupu

-Unataka kumjua ni msanii gani?

Kufahamu undani wa yote haya na mengine mengi, soma Gazeti la IJUMAA, leo

Leave A Reply