The House of Favourite Newspapers

Yanga Kukiwasha na Gwambina FC Mwanza leo

0

TIMU ya Yanga inashuka uwanjani leo Novemba 3, 2020  kuivaa Gwambina  katika mchezo wa kusaka kujiamini zaidi kwa mchezo ujao dhidi ya watani zao, Simba.

 

Usindi wa Yanga leo  katika Uwanja wa Gwambia utaifanya timu hiyo kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa raha zaidi licha ya sare pia inaweza kuwapa uongozi hadi matokeo ya Azam FC dhidi ya Dodoma Jiji.

 

Wageni hao wa Ligi Kuu, Gwambina watatakiwa kuwa makini na nyota wa kigeni wa Yanga, ambao wameonyesha kuwa mwiba mkali katika kufumania nyavu, kwani ni kipa pekee, Farouk Shikalo, ambaye hajafunga.

ANGA Kulikoni, KILA Mechi GOLI 1, Hii SIMBA Ilikutana na MWADUI GANI? | ROUND UP

Leave A Reply