The House of Favourite Newspapers

Yanga Waaga Mwili wa Baba Mzazi wa Paul Godfrey Temeke

0

Kikosi  cha Yanga baada ya kufika Dar es Salaam, kilienda Hospital ya Temeke kwa ajili ya kuaga mwili wa Baba Mzazi wa Mchezaji wao Paul Godfrey Nyang’anya.

Mwenyezi Mungu endelee kumpa nguvu Paul na Familia yake kwa ujumla katika kipindi hichi kigumu.

Leave A Reply